
Ni video mpya ya wasanii kutoka Kenya, JUST A BAND wakiwa wameshirikiana na rapperOCTOPIZZO na STAN … Ngoma ya video hii inajulikana kama DUNIA INA MAMBO ambayo kwenye video yake inaonekana kuwa shot kizamani na hivyo kuleta mvuto wa kitofauti sana …
Chukua Mda wako kuweza kuitazama hapa chini