NEW MUSIC : RAMA DEE FT. LADY JAYDEE – KAMA HAUWEZI …




Ikiwa leo ni siku ya kuzaliwa ya msanii anaefanya muziki aina ya RnB, hapa namuongelea Rama Deeambae maskani yake kwa sasa  ni nchini Australia ambako huko anaishi pamoja na familia yake, siku ya leo Rama Dee aliahidi mashabiki wake kuwa ataachia ngoma yake mpya ambayo amefanya na Malkia wa muziki Tanzania mwanadada Lady JayDee …. Ngoma inajulikana kama “KAMA HAUWEZI”.
Rama ameachia ngoma hii siku ya leo ikiwa ni kama zawadi kwa mashabiki zake ambao wanaopenda kazi anayofanya msanii huyo.
Kuwa wa kwanza kuisikiliza na kudownload ngoma hii hapa chini …


Previous Post Next Post