TASWIRA YA WAZIRI MKUU WA DENMARK KATIKA BANDARI YA DAR ES SALAAM
byNews Tanzania-
0
Baadhi ya raia wa Denmark nchini wakiangalia msafara wa gari yenye bendera iliyompakia Waziri Mkuu wa Nchi yao H.E.Thorning-Schmidt jana alipomaliza ziara fupi katika bandari ya Dar es Salaam.