Irene Uwoya aja na kipindi cha TV. Kinahusu masuala ya nyumba








Mwanadada Irene Uwoya anakuja na kipindi chake cha TV kitakachukuwa kikirushwa na kituo cha luninga cha Clouds TV .
Kipindi hiki kipya na cha aina yake kitawawezesha watu mbalimbali kupata nafasi ya kurekebishiwa nyumba zilizotembelewa na mwanadada huyu ili kuzifanya bora na za kisasa zao kupitia kipindi hicho.
Katika ujumbe wa picha alioutoa leo kupitia akaunti yake ya mtandao mmoja wa kijamii Irene aliandika
“Clouds tv...kipind changu kipya kinahusu nyumba natengeneza na kukarabat nyumba...plz nipen support tuwasaidie watanzania wenzetu”
Kipindi hiki kitaanza kuwa kitakuwa hewani hivi karibuni
(Picha: Irene kaika utengenezaji wa kipindi hicho)
Previous Post Next Post