Hizi ni Baadhi ya Movie 7 Mpya kutoka Bongo Movies Tanzania



Inawezekana ukawa umewahi kuziona moja ya movie hizi, Katika tasnia ya Filamu tanzania Wamepiga atua katika swala zima la ubora ingawa si katika ubora ule unaotakiwa na dunia ila wamepiga hatua sana katika swala zima l autayarishaji wa filamu hizi. Mungu aendelee kuibarika Tanzania katika Tasnia ya Filamu ili iweze kuendela mbele zaidi na kupata ujuzi mpya kila siku kwani watazamaji wanataka kuona vitu vipya kila siku.



1




Jina La Movie:Crush
======    ======
 Directors
                       Casts: Remmy Maywili, Ahmed Olotu, Sayuni Mero, Mbaraka Matitu

2


Jina La Movie:Twisted
======    ======
Maelezo Mafupi na Directors
Usaliti ni deni ambalo hulipwa na msaliti, thamani ya maisha na siri ya mafanikio, ipo kwa watu kuishi wakiwa waaminifu katika ndoa zao,...
Casts: Vincent Kigosi, Wellu Sengo, Idaya Njaidi
Sory by Ally Yakuti, Directed by Vincent Kigosi, Produced by Blandina Chagula, Script Ally Yakuti, Producer Blandina Chagula, Executive Producer Steps Entertainment, Production Manager Blandina CHagula, Camera Farid Uwezo, Makeup by Mwansiti Mohamed, Sound Man Barghash Said,, light Sten Shoo

3


Jina La Movie: Mahaba Niue
=====  =====
Maelezo Mafupi na Directors
Wivu katika mapenzi unaweza kusababisha madhara makubwa katika familia kiasi kupelekea kuharibu maisha ya familia husika…swali lakujiuliza je? kila mwanamke mrembo anastahili kuolewa?
Casts: Simon J. Mwapangata, Jacqueline Wolper, Haji Salum, Niva
Script: J. Kanuti, Story, Simon J. Mwapangata, Producer Simulizi African Entertainment, Executive Producer Steps Entertainment, Director Rashid Mrutu, Sound Rashid Mrutu, Cameraman Bakari Mtaullah

4


Jina La Movie: Don’t Play
=====  =====
Maelezo Mafupi na Directors
Ipo Michezo ya Kucheza lakini mingine ina hatari, hasa unapochezea mtu asiye mfahamu….
Casts: Haji Adam, Zuwena Mohamed, Vishal Milanzi, Gaston Kisumbe, Isike J, Samwel
Director Gofrey E. James, Story & Script, Makiawa Said, Camera Godfrey E.James, Sound Abdallah Idd, Producer Nunnuh Milanzi



5



Jina La Movie: Safari
=====  =====
Maelezo Mafupi na Directors
Mwandishi anasafiri kutafuta uhakika juu ya kitabu chake kipya anachotaka kuandika. Katika utafiti huo, anakutana na mkasa mkubwa wa kusisimua uliyoyabadilisha maisha yake.
Casts: Irene Uwoya, Chuchu Hans, Salum Ahmed, Libert Msuya, Single Mtambalike
Script Single Mtambalike, Story Mbarkiwa Harun, Producer Bulls Entertainment, Executive Producer Steps Entertainment, Director Singe Mtambalike, Sound Mbwana Mponda, Cameraman Hamis Koba/Chidi Classic


6


Jina La Movie: Spinster
=====  =====
Maelezo Mafupi na Directors
Pentezel, ameonekana kusumbuliwa na mapenzi kiasi kutotaka kuwajua wanaume! Hali hiyo imeonekana kumsumbua nyota huyo ,bila watu kujua nyuma ya chuki hiyo kuna siri kubwa iliyonyma ya maisha yake ambayo ndiyo sababu kubwa ya yeye kutofuatilia mapenzi
Casts: Jacqueline Pentezel, Slim Omary,, Mary P. Mtemi

7


Jina La Movie: Kato
=====  =====
                                                               Washiriki wa Movie 
01. ANGWISA MBAPONYIE
02. MASHALO BHARO
03. VATU SIO VATU
04. ANACHEZA ANALIA
05. SHEGA SHEGA
06. KATO
07. NDOA YANGU
08. SINDIMBA
09. MAPENZI KWANI KITU GANI?



Nb! Pata mda wako wa kuweza kuzitazama ili kuweza kutoa support kwa Bongo Movies.




Previous Post Next Post

Popular Items