
Ngoma ni kali na iko na a.k.a MONSTER … Director mkali wa video kutoka Arusha anaefanya vizuri sana kwa sasa kwenye industry hiyo, NISHER ameachia ngoma mpya ambayo ameimba na kuchana yeye mwenyewe … Nisher ambaye siku ya jana ilikuwa Birthday yake aliachia ngoma hiyo kama zawadi yake katika siku hiyo ya kuzaliwa … Ngoma inafahamika kama “PAPER” …
Isikilize hapa chini ;