Imagine King wa Rap wa Kenya, Collins Majale aka Collo na Bongo Flava Prince, Nasib Abdul aka Diamond Platnumz, ndani ya ngoma moja.
Jana Collo amewasili jijini Dar es Salaam kwa safari ya kikazi ambapo miongoni mwa miradi mingine, amekuja kufanya collabo na Diamond Platnumz.
Tweet hizo mbili za chini zinaongea yote.
Inavyoonekana pia, mastaa hao wawili jana walikuwa na session ambayo huenda ikawa ya video kutokana na tweet hizi zilizoandikwa na Ezekiel Onyango aka DirectorEzy wa filmcrewinafrica.com.