Big Brither The Chase: Ruby na Diamond zaungana, sasa washiriki wote kuwa pamoja, jiandae kwa drama zaidi



Kumesikika sauti za shangwe na vigelegele baada ya Big Brother kutangaza kuwa ruby na diamond house zinaungana na washiriki wote sasa watakuwa nyumba moja.
BBATheChaseLRG
Muda mfupi baada ya kumalizika kwa Airtel Arena Challenge Big Brother alitoa tangazo hilo muhimu:
“Rubies you have won the Airtel Challenge. However, this week, there will be no swap happening. It is with great pleasure that I announce the official merging of the Emerald House, Ruby House and the Diamond House”, alisema Biggie.
“You will now all call the Ruby House your home.”
Kufuatia tangazo hilo, The Chase inaendelea kunoga zaidi na sasa kwakuwa washiriki wote watakuwa kwenye nyumba moja, tutarajie drama zaidi.
Previous Post Next Post