Hii ni kupitia page yake ya Instagram ambapo staa huyu wa longtime kitambo Tanzania Rehema Chalamila (Ray C) inaonekana amemis kufanya muziki, ni long time kidogo toka apate matatizo kwenye afya yake yaliyosababisha kusimama kufanya muziki japo aliwahi kuongea na millardayo.com kuhusu plan zake kubwa za muziki 2011/2012
Kama unakumbuka December 10 2012 kwenye Amplifaya stori iliyoshika namba 2 kati ya 10 ilisema “Ray C anaendelea vizuri na matibabu, leo amekwenda Ikulu kumshukuru President Kikwete kwa kumsaidia kwenye matibabu’
Hizi hapa chini ni baadhi ya picha zinazopatikana kwenye page yake ya Instagram.