SUNDERLAND KUJENGA AKADEMI DAR ES SALAAM



jk e756b
Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Mwenyekiti na Mmiliki wa klabu ya Sunderland, Ellis Short na baadhi ya wanafunzi wanaosoma katika akademi ya Light, Sunderland jana mchana. Klabu hiyo kwa ushirikiano na Symbion Power Tanzania Limited imekubali kujenga akademi ya soka mjini Dar es Salaam. Chanzo: Freddy Maro

jk2 a77f7

jk3 964f6
Kikwete akizungumza na Mmiliki wa Sunderland, Ellis Short katika Uwanja wa klabu hiyo, Stadium of light
 
 jk4 cafec
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA