RAPPER WA MAREKANI MIMS AMLILIA MANGWEA [VIDEO]




Rapper MIMS wa Marekani ameungana na wasanii wengine wa Tanzania kuomboleza kifo cha Albert Mangwea aliyefariki wiki iliyopita nchini Afrika Kusini. Mims ambaye alikuja Tanzania mwaka jana na kurekodi wimbo Bongo Records, YOU CAN NEVER BE ME akiwa na Jay Moe amezungumza kwenye kipande hiki cha video kuhusu msiba wa Mangwea.


Previous Post Next Post

Popular Items