Baada ya kupumzika kwa takriban miezi mitatu, Salama Jabir na crew nzima ya kipindi cha Mkasi, wameingia location kuanza kutayarisha vipindi vipya vya msimu wa pili. Tazama baadhi ya picha za location.

Salama Jabir

Vanassa Mdee akijiandaa kuhojiwa kwenye Mkasi

Kazi na iendelee

Host wa show, Salama Jabir akipigwa make-up

Vanessa Mdee na Muba

Crew ya Mkasi ikiongozwa na Josh Murunga (katikati)

AY akiwa na partner wake kibiashara, Salama

Salama na Josh

Vanessa Mdee
PICHA: SLIDEVISUALS, WA MKASITV INSTAGRAM