
Jana usiku, radio ya CHOICE FM ilikuwa na party ya pamoja ikihusisha wafanyakazi wa kituo hicho na kualika fans pia … Get together hiyo ambayo pia iliambatana na uzinduzi wa ukumbi wa ESCAPE 1 uliopo maeneo hayo ya Mikocheni …
Check baadhi ya picha katika tukio hilo ;









AY, Izzo Bizness & Quick Rocka


Vanessa Mdee on stage …


Gosby na Vanessa Mdee wakiimba CLOSER (Remix) … Gosby has a new track, BMS inabidi uitafute uisikie kama bado hujaisikia …



AY akipiga show …

Comedian Evans Bukuku .



Wafanyakazi wa CHOICE FM wakikata cake …



