Patcho Mwamba amkumbuka Kanumba





Msanii nguli anyefanya vizuri katika tasnia ya uigizaji Patcho Mwamba, amekiri kumkumbuka msanii marehem Steven Charles Kanumba "The Great". Mwamba ambaye anaendelea kuliteka vikali soko la filamu alisema maneno hayo mwishoni mwa wiki iliyopita na kuongeza kuwa kwa sasa anaona utofauti mkubwa sana katika uigizaji ukilinganisha na kipindi yuko na gwiji Kanumba, pia aliongezea kwamba kiwango chake kipo vile vile, lakini wakati akiwa na mwalimu wake(Kanumba) alikuwa anafanya kwa kujiamini zaidi na ataendelea ku-mmis sana marehem Kanumba. 
Previous Post Next Post

Popular Items