Barnaba Afiwa na Mama yake Mzazi Leo Asubuhi....




MUHIMBAJI KUTOKA KATIKA KUNDI  LA [THT ] HOUSE OF TALENT TANZANIA BARNABA ELIASI MAHARUFU KAMA BARNABA AMEFIWA NA MAMA YAKE ASUBUHI YA LEO

TAHARIFA CHA KIFO CHA MAMA YAKE BARNABA ZINATHIBITISHWA NA RAFIKI WA KARIBU WA MSANII UYO AMINI KUWA NI KWELI MAMA YAKE BARNABA AMEFARIKI DUNIA ASUBUHI YA LEO JUMAMOSI  TAREHE 22/6/2013 KWA PRESHA

BONGO 61 TEAM INAPENDA KUWA PAMOJA NA NDUGU WOTE WA MAREHEMU KATIKA KIPINDI HIKI KIGUMU  HASA POLE NYINGI KWA BARNABA MWENYEWE KWA KUMPOTEZA MAMA

MUNGU AILAZE ROHO YA MAREHEMU MAHALA PEMA PEPONO AMEN...
Previous Post Next Post