MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI-CHADEMA, JOSHUA NASSARI ANAENDELEA VIZURI.



 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akionesha simu yake ya mkononi iliyokuwa na matukio ya tukio la kuvamiwa kwake.
 Mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari akiwa katika hospitali ya Taifa muhimbili jijini Dar es Salaam jana akipata matibabu baada ya kushambuliwa na watu wasiojulikana wakati wa mkutano wa kampeni za udiwani jijini Arusha.
Mbunge wa Vunjo-TLP, Mh. Agustino Lyatonga Mrema akimjulia hali mbunge wa Arumeru Mashariki-Chadema, Joshua Nassari.
======  ========  =====

MBUNGE WA ARUMERU MASHARIKI-CHADEMA, JOSHUA NASSARI ANENDELEA VYEMA NA MATIBABU KATIKA HOSPITALI YA TAIFA MUHIMBILI JIJINI DAR ES SALAAM BAADA YA KUSHAMBULIWA NA WATU WASIOJULIKANA WAKATI WA MKUTANO WA KAMPENI ZA UDIWANI JIJINI ARUSHA.

Previous Post Next Post