Kundi la Kikosi cha Mizinga limefanya show ya kutimiza miaka 13 tangu lianze muziki iliyohudhuriwa na mashabiki kibao wa Hip Hop jijini Dar es Salaam. Show hiyo iliyofanyika usiku wa kuamkia leo imeshuhudia kuonekana kwa wasanii wa muda mrefu waliopotea kabisa kwenye ramani ya muziki akiwemo member wa kundi la Wateule, Mark 2 Be aka Simba na kundi la Big Dogg Poz.

Kalapina kwenye stage
Mgeni rasmi kwenye show hiyo alikuwa ni Naibu Katibu Mkuu wa Chama cha Wananchi (CUF) Tanzania Bara, Julius Mtatiro aliyesoma historia ya kundi hilo lililoanzishwa mwaka 2000 kwenye kitongoji cha Block 41, Kinondoni jijini Dar es Salaam.

Julius Mtatiro akisoma historia ya Kikosi cha Mizinga

Afande Sele akiimba kwa hisia

Afande Sele akisaliamiana na mashabiki

Bigg Dog Pose

Chidi Benz

Mashabiki wakifuatilia show


Dj Zero



One akiwa amezungukwa na mashabiki waliokuwa wakimtaka apande kwenye stage



Member wa kundi la Big Dog Pose

Member wa pili wa BDP


Simba

Stereo kwenye stage

Chidi Benz




Mansu-Li

Kimya





Kikosi cha Mizinga na mgeni rasmi wakikabidhi vyeti

























Kalapina akitumbuiza

Kikosi cha Mizinga stejini

Kikosi cha Mizinga na wageni waalikwa wakigawa vyeti va shukrani

Kimya kutoka Kenya alikuja kuwapa shavu washkaji zake wa Kikosi


Mansu-Li

Mark 2 B aka Simba

Mashabiki wakiwa wamembeba juu juu One The Incredible

Masharikans stejini

Masharikans wakiwapa taugh Kikosi cha Mizinga

One akifikiria aimbe wimbo gani


Sauda Mwilima akipokea cheti
Picha Via: Bongo5.com