MAKAMU WA RAIS DKT. AHUDHURIA SHEREHE ZA KUSIMIKWA ASKOFU MPYA WA KANISA LA KKKT DAYOSISI YA KUSINI MASHARIKI YA ZIWA VICTORIA




Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akihutubia waumini wa Dini ya Kikristo wakati wa ghafla ya kuwekwa wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo mpya ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria iliyofanyika jana katika kanisa la Ebeneza Shinyanga mjini.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akimpongeza Askofu mpya wa Kanisa la Kiinjili la Kilutheri Tanzania (KKKT) Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emannuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu na kuzinduliwa kwa Dayosisi hiyo katika Kanisa la Ebeneza Shinyanga mjini jana Mei 5, 2013. Katikati ni Askofu Mkuu KKKT Tanzania, Dkt Alex Malasusa.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na familia ya Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Maaskofu wa KKKT Tanzania baada ya kuwekwa Wakfu Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Victoria na kuzinduliwa rasmi Dayosisi hiyo katika kanisa la Ebeneza Shinyanga mjini.


Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Mohammed Gharib Bilal, akiwa katika picha ya pamoja na Askofu mpya wa KKKT Dayosisi ya Kusini Mashariki ya Ziwa Viktoria Mchungaji, Emmanuel Joseph Makala, baada ya kuwekwa wakfu. 
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA