JAJI MKUU ALIPOWASILI MBEYA KWA ZIARA YA KIKAZI JANA





Jaji Mkuu wa Tanzania,Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na mmoja wa Maafisa wa Mahakama Mara alipowasili Katika ziara ya kikazi mkoani Mbeya leo, katikati ni Jaji Mfawidhi wa Mahakama Kuu Kanda ya Mbeya, Mhe. Jaji Noel Chocha.
Jaji Mkuu wa Tanzania, Mhe. Mohamed Chande Othman akisalimiana na mmoja wa maofisa wa polisi waliokuja kumpokea Katika Uwanja wa Ndege wa Songwe jijini Mbeya, Mhe Jaji Mkuu amewasili mkoani Mbeya Katika ziara ya kikazi ya kutembelea Mahakama mkoani Mbeya. 
Previous Post Next Post

Popular Items