HUYU NDIO MSANII MPYA WA D’BANJ



d'banj & olamide
Msanii nyota wa nchini Nigeria D’Banj sasa amemsainisha msanii mpya anayejulikana kwa jina la Olamide katika label yake ya muziki nchini humo.
Tayari Olamide ame kolabo na D’banj track iitwayo “Ibadi e” songi ambalo litakuwa ndani ya albamu mpya ya D’Banj called DKM.
Rapa Olamide na D’Banj wamekuwa pamoja katika mkutano wa maswala ya burudani uliowahuisisha wadau na wasanii nyota nchini Nigeria ambapo inaonyesha wazi kuwa kichwa hicho kipya kinatarajia kuleta mabadiliko ndani ya label hiyo.
Previous Post Next Post