BEN POL ATAMBULISHA SINGLE YAKE MPYA KWA MASHABIKI



Hatimaye Ben Pol usiku wa kuamkia leo ameitambulisha rasmi single yake mpya, Jikubali kwenye ukumbi wa Ambassador Lounge jijini Dar es Salaam. Jikubali imetayarishwa na producer Lucci.

Julio akiweka pozi


Lucci akiwa na msanii wake mpya rapper KK

Joh Makini na Swahiba wake katika pozi







Adam Chovu

Ben Pol akimtambulisha producer Lucci aliyetengeneza single yake mpya

Watu walijitokeza kwa wingi


G.Nako


Ben Pol na G.nako

Water Chilambo alipokuwa Stejini akiimba hit yake Siachi

Ben Pol

Pozi Bomba

Sundy na Alice nao walikuwepo kumpa tafu Ben Pol

Ben Pol akiwa na Water Chilambo


Ben Pol akiwa Stejini




Izzo B na Junior
Previous Post Next Post

Popular Items