Mwanamuziki mrembo wa nchini Kenya, Avril amefanyiwa party ya birthday ya aina yake kwenye kiota cha Elements kilichopo Masaki jijini Dar es Salaam. Avril ambaye aliitambulisha pia ngoma yake mpya aliyomshirikisha Ommy Dimpoz, amesherehekea birthday yake na mastaa kibao wakiwemo Prezzo, AY, Mwana FA, Linex, Jokate Mwegelo, Vanessa Mdee, Salama Jabir, Brigitte Alfred (Miss Tanzania 20120 na wengine kibao. Hizi ni picha za party hiyo.

The sexy Avril
![]() |

We must admitt AY’s girlfriend is very beautiful



Arthur wa Unity Entertainment akiwa na Avril



Happy moment

![]() |

Miss Tanzania 2012 Brigitte Alfred (kushoto) akiwa na rafiki
![]() |

Keki ya Avril
![]() |

Linah akiwa na washkajiww

Linex, Prezzo na FA

Thandi Kathembe na Carlos wa Samaki Samaki

Nchakalih na Abby
![]() |

Vanessa Mdee akifurahia jambo

Vanessa Mdee na Abby

Meneja wa Heineken Tanzania, Uche Unigwe (katikati) akiwa pamoja na Avril

![]() |

Kwa mbali Abby na Prezzo wakisalimiana
![]() |
![]() |

Feza Kessy na Avril

![]() |

Prezzo na FA

Arthur, Prezzo, AY na FA

Brothers



![]() |

Prezzo na shemeji yake
![]() |

Prezzo akiingia Elements
![]() |

Prezzo akisalimiana na swahiba wake AY



![]() |

Jokate Mwegelo




Linex

Nchakalih na washkaji
![]() |

AY akiwa na mrembo wake













Salama na Mwana FA





Avril akifurahia birthday yake












NEWS VIA BONGO5