HIZI NDIZO SWAGGA ZA OMMY DIMPOZ FT DIAMOND KATIKA PICHA TOFAUTI




Wasanii waliojuu kwenye muziki wa Bongo Flava, Diamond na Ommy Dimpoz wote wapo ziarani barani Ulaya. Diamond yupo Uingereza huku Ommy akielekea Milan nchini Italia. Kupitia Instagram wote wamekuwa wakishare picha wakiwa huko lakini nani anayelipuka zaidi?



Previous Post Next Post