ZIARA ZA RAISI WA ZANZIBAR NA MAKAMU WA CCM MJINI UNGUJA JANA

Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana
na Mwenyekiti wa CCM Mkoa wa Mjini Borafya Silima Juma,alipowasili
Ofisi ya Mkoa Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
katika Mkoa huo leo,(katikati) Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai
Ali Vuai
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akivalishwa
Skafu na Kijana Chipukizi wa CCM Pili Hassan,miaka 10 Mkaazi wa Meli
Nne,alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo  jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,akisalimiana
na Viongozi wa CCM alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa
Amani,alipoanza ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa
huo jana,Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa Chama cha Mapinduzi CCM
alipowasili katika Ofisi ya CCM Mkoa Amani,alipoanza ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi katika Mkoa huo  jana,
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar ,akipata
maelezo kutoka kwa Katibu wa Kamati ya Ujenzi Omar Saidi,wakati
alipotembelea Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu
wasiojulikanwa akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Mjini  jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,(katikati)
akifuatana na Naibu Katibu Mkuu wa CCM Zanzibar Vuai Ali Vuai,(kulia)
pamoja na viongozi wengine baada ya kuitembelea Maskani Kaka ya
Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa katika ziara ya
kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini  jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,akisalimiana na Viongozi wa CCM alipowasili kuitembelea
Maskani Kaka ya Kisonge,iliyomwa moto na Watu wasiojulikanwa akiwa
katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini
 jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar, alipokuwa
akizungumza na Wananchi na wanachama wa CCM, Tawi la CCM Vikokotoni
Mjini Unguja,alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
Wilaya ya Mjini  jana.Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar
,akifungua pazia kuweka jiwe la Msingi Tawi la CCM Vikokotoni,
alipokuwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya
Mjini jana, )Wanachama wa CCM Tawi la Vikokotoni walipokuwa
wakimshangilia Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la
Mapinduzi Dk.Ali Mohamed Shein,pia Makamo Mwenyekiti wa CCM
Zanzibar,alipokuwa akiliweka jiwe la msingi Tawi hilo leo,akiwa katika
zara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Mjini Mkoa wa Mjini
Unguja.
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk.Ali Mohamed Shein,na Makamo Mwenyekiti wa CCM Zanzibar,alipokuwa
akisalimiana na Viongozi wa Tawi la CCM Vikokotoni,alipofika kuweka
jiwe la Msingi akiwa katika ziara ya kuimarisha Chama cha Mapinduzi
CCM Mkoa wa Mjini leo. 


PICHA VIA: Ramadhan Othman,Ikulu.
Previous Post Next Post