Ney wa Mitego msanii wa muziki wa Kizazi kipya Bongofleva akifanya jukwaani vitu vyake kwenye ufukwe wa Coco Beach jijini Dar es salaam leo jioni katika tamasha la “Airtel Yatosha Concert” Wasiliana ndani na nje ya mtandao kwa bei poa kuanzia 349/= dakika 10 kupiga mitandao yote SMS 100 na 25MB Piga *149*99# utaona faida yake, katika tamasha hilo wamehudhuria mashabiki wengi wa muziki wa kzazi kipya na kupata burudani kutoka wasanii mbalimbali wakiwemo Madee wa TIPTOP Connection, Fid Q na wengine wengi. |