Lulu akiwa na mama yake mzazi leo walipo tembelea kaburi la marehemu
Steven Kanumba ikiwa ni mwaka mmoja toka amefariki....

Wakimuombea Marehemu Steven Kanumba

Shada la Maua likiwekwa kaburini



Mama Kanumba akisaidiwa kuweka shada la maua

Lulu akiendelea kumlilia Kanumba huku Mama Kanumba akiweka shada lake la maua
kwenye kaburi la mwanae

Lulu akiwa katika picha ya pamoja na mama Kaumba
mara baada ya misa ya kumbukumbu ya mwaka mmoja tangu Steven Kanumba afariki.

Lulu na mama yake mzazi wakiwa katika makaburi ya Kinondoni

Waigizaji mbalimbali kwenye kumbukumbu ya Marehemu Kanumba
makaburini Kinondoni muda mfupi uliopita,

R.I.P Steven Kanumba