PICHA & VIDEO CLIP:JUSTIN TIMBERLAKE AMUIMBISHA RAIS OBAMA IKULU


Justin Timberlake... the singer himself, ameendelea ku-keep 
big things rolling hasa baada ya kurudi kwa kishindo katika muziki na kutoa Albam ambayo kwa sasa inafanya vizuri, na sasa mpya kutoka kwake ni kwamba star huyu alipata shavu la kwenda kufanya onyesho la ndani Ikulu ya Marekani ikiwa ni tukio maalum la kuonyesha heshima kwa Muziki wa Soul wa Memphis (Mji wa Tennessee ambao kipekee kupitia muziki huu, uliwaleta pamoja wazungu pamoja na watu weusi miaka ya 1960 wakati ubaguzi wa rangi ulikuwepo kwa kiasi kikubwa), katika historia ya Marekani.
Kivutio kikubwa katika tukio hili ni pale Justin Bieber alipokuwa akiimba wimbo huku akipewa back up ya mbali na mheshimiwa, Wimbo ambao uliimbwa na Otis Redding - "Sitting on the Dock of the Bay"
Previous Post Next Post