Usiku wa J.mosi hii pale Ambassadador Lounge ulikuwa ni usiku wa Kajala ambapo alifanyiwa
Party ilimkutanisha na Ndugu,Jamaa,Marafiki pamoja na Mashabiki wake...
Kajala aliambatana na Rafiki yake kipenzi Wema Sepetu na walikata Cake kwapamoja...
Hapa wakiingia ndani ya Ukumbi wa Ambassadador Lounge
Wema, Dj Fetty & Kajala...
Hizi ni Cake mbili alizoandaliwa Kajala usiku huo...
Kajala & Aunt Ezekiel
Mmmh! Wema anamfundisha Aunt......?