[ PICHA 12 ] IDADI YA WATU WALIOPOTEZA MAISHA KATIKA GOROFA LILILOANGUKA DAR SASA YAFIKIA 34

Idadi ya watu waliopoteza maisha kwenye jengo la ghorofa 16 lililoanguka Ijumaa hii katikati ya jiji la Dar es Salaam imefikia watu 34. Shughuli za kutoa vifusi inaendelea kwa siku ya tatu mfululizo leo. Tazama picha hizi mpya za operesheni hiyo.
































Previous Post Next Post

Popular Items