ICHEKI RED CARPET YA SKYLIGHT BAND @ JB BELMONT HOTEL NDANI YA MWANZA!


Kikosi kazi cha Skylight Band kutoka jijini Dar katika picha ya pamoja tayari kuwaburudisha wakazi wa Mwanza baada kuwasili kwenye kiota cha JB Belmont Hotel walipopiga show ya aina yake wa VIP’s wa jiji la Mwanza.


Sam Mapenzi na Sony Masamba wa Skylight Band waking’ara kwenye red carpet.


Dr. Sebastian Ndege na swahiba wake wakishow love.


Dr. Henry, Eddie na Justin Ndege.





Wadau wa Villa Park Resort waliwakilisha.


Dr. Sebastian Ndege na Mdau Teweli Teweli.


Watu na mapesa yao wanapokutana:Mzee Gitano wa Mwanza na Dr. Sebastian Ndege.


Warembo wa Mwanza hao.


Mwanza ni balaaa.!



Couples iliyobamba katika usiku wa Skylight Band ndani ya JB Belmont Hotel.



Familia ya Skylight Band iliwakilisha.


Skylight Band Family all the way from Dar.


Team Skylight Band.


Mr. & Mrs to be…. Kila la Kheri wadau.


Ushers wa Skylight Band katika pozi.


Previous Post Next Post