NENO LA SIKU ALILOTOA DIAMOND PLATNUMZ


Nyota Njema uonekana Asubuhi.........Mshukuru Mungu kwa kuwa umeamka 
salama......si kwamba sisi tu wasafi sana na tumempendeza mungu
kuwepo mpaka sasa lakini kwa neema zake na rehema tupo hapa......
wengine wapo mahospitalini...wengine wamepumzika milele leo
lakini wewe na mimi bado tu wazima.......
usikufuru mungu kwa magumu uyapitia hayo....maana yeye anatuwazia
mema kila siku hata kwa mabaya tutendayo......upendo wake wa dhati juu
yetu ndio nguzo kuu ya mafanikio yetu....
magumu Yote upitia hayo mshukuru mungu kwa kuwa yeye anajua sababu 
nzima ya wewe kuwepo hapo muda na saa hii....!!
Nakutakia wewe siku njema yenye baraka tele mbeleni...kila ufanyalo 
mwenyezi mungu akufanyie wepesi......!!
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA