MKATABA WA UNUNUZI WA KIVUKO CHA DAR-BAGAMOYO WATIWA SAINI LEO




Waziri wa Ujenzi  Dr. John Pombe Magufuli (watatu kulia) na Balozi wa Denmark Tanzania  wakishuhudia utiaji saini mkataba wa ununuzi wa kivuko cha Dar Bagamoyo leo. Kivuko hicho kitajengwa na kampuni ya johs Gram-Hanssen A/S ya Denmark. Kivuko hicho kitakuwa na uwezo wa kubeba abiria 300 kwa pamoja na kinatarajiwa kukamilika miezi minane kutokea leo.
Previous Post Next Post