MALI ZA GOLDIE ZITAKAZOPIGWA MNADA MWEZI UJAO

Kwa mujibu wa Familia ya marehemu Goldie ambaye alikuwa ni muimbaji pia na aliwakilisha Nigeria katika mashindano ya BBA mali zake zitapigwa mnada mapema mwezi ujao.Hii inatokana na wosia ambao aliuandika kabla ya kufariki.Hizi ni baadhi ya vifaa ambavyo vitapigwa mnada





Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA