logo ya chuo cha ualimu Tukuyu |
Mazingira ya chuoni hapo kwa nje |
WAHITIMU |
WAHITIMU |
WAHITIMU |
ISHANTI SHAPWATWA AKISOMA RISALA KWA NIABA YA WAHITIMU KATI YA MAMBO ALIYASEMA NI KUWASHUKURU UONGOZI WA CHUO NA WANANJAMII KUWALEA VYEMA CHUONI HAPO TANGU WAANZE MASOMO AMBAYO MPAKA KUMALIZA HAKUNA MWANANCHUO ALIYEFUKUZWA CHUO KWA UTOVU WA NIDHAMU |
MWENYEKITI WA BODI YA USHAURI YA CHUO BW MOSES MWIDETE AKIONGEA MACHACHE KWA WAHITIMU, AMEWATAKA WAHITIMU KUWA KWA VILE SASA WANANZA KUJITEGEMEA CHA MSINGI WAJUE KUJIHESHIMU NA WAEPUKANE NA NGONO ZEMBE AMBAZO ZINAPELEKEA KUPATA UGONJWA WA UKIMWI AMBAO HAUNA TIBA WALA KINGA |
MKUU WA CHUO CHA UALIMU TUKUYU BW MATHIAS MVULA AKISOMA TAARIFA FUPI YA CHUO HUKU AKIWATAKA WANANCHUO KUWA MABALOZI WAZURI KATIKA JAMII ILI JAMII ITAMBUE CHUO CHA MSASANI KINAZALISHA WAHITIMU WALIO WAADIRIFU NA WAPENDA AMANI KATIKA JAMII |
MKUU WA WILAYA YA RUNGWE CHRISPIN MEELA AKIONGEA NA WAHITIMU NA JUMUIA YA CHUO PAMOJA NA WAZAZI WALIOHUDHURIA. MKUU WA WILAYA AMESEMA KUWA MWALIMU NI KIUNGO MUHIMU KATIKA JAMII KWAKUWA MWALIMU ANATEGEMEWA KWA KUWA NA MAWAZO MAZURI NA YENYE SURUHISHO YA MIJADARA YA KIJAMII, HIVYO |