KWELI PESA INAWEZA KUMFANYA MTU AKAFANYA CHOCHOTE SOAM HAPA!


Chika Bila make up
Ama kweli pesa ni kila kitu na hili limedhihirishwa na mmoja wa waigizaji mahiri wa filamu za Nollwood nchini Nigeria Chika Ike ambaye ameamua kunyoa upara ili kutimiza sharti la malipo ya Naira Million 5 anazotaraji kulipwa atakapocheza movie mpya akiwa hivyo.

Chika akiwa na make up
Ni hivi karibuni dashosti huyo aliposti kwenye mtandao akionyesha hundi ya kiasi hicho cha Naira millioni 5 ambazo ametakiwa kulipwa kwa ajili ya kuigiza filamu hiyo mpya.
Previous Post Next Post