KIKAO KAZI CHA WIZARA YA MAENDELEO YA WANAWAKE ,JINSIA NA WATOTO NA UNDP


Washiriki wa Kikao kazi cha Ushirikiano kuhusu kuandaa Mkakati wa Pamoja wa namna ya kushughulikia masuala ya Jinsia katika Sekta ya Madini. Kikao hicho cha siku mbili kinawashirikisha washiriki kutoka katika nchi za Tanzania,Kenya,Sudan,Uganda, Ethiopia na kimeandaliwa na UN- Women na shririka la Publish What You Pay.

Mkurugenzi Mkazi wa UNDP Tanzania Bw. Philipe Poinsot, Waziri wa Maendeleo ya Jamii, Jinsia na Watoto Mhe. Sophia Simba na Mkurugenzi Mtendaji wa UN-Women Kanda ya Afrika Mashariki na Pembe ya Pwani katika kikao


Mkurugenzi Mkazi wa UNDP Tanzania Bw.Phillipe Poinsot akiongea wakati wa ufunguziWashiriki wa kikao wakimsikiliza Mgeni rasmi wakati wa ufunguzi
Previous Post Next Post

Popular Items

WAKUU WA USALAMA KUHOJIWA KENYA