KID GUDI ASEPA G.O.OD MUSIC


Rapper kutoka America, Kid Cudi ambae lately amekuwa chini ya label ya Kanye West, G.O.O.D Music ameiacha label hiyo .Cudi from Cleveland amefanya baadhi ya interview hivi karibuni na kusema hayupo tena kwenye label hiyo, na kwamba ameshaongea na Kanye kuhusu hilo na si tatizo ...

Sababu kubwa iliyomfanya ajitoe katika kundi/label hiyo ni kuwa anataka kufanya vya kwake kama mwanamuziki, kama ilivyo kwa Kanye, Cudi anasema anataka kuanzisha muziki wake na kuchukua uelekeo wake...
According to Cudi, alifanya uamuzi huo miezi sita iliyopita ila hakumshirikisha yeyote yule katika G.O.O.D Music mpaka sasa kwa sababu aliona ni wakati umefika na hana tatizo na mtu yeyote katika label hiyo ...
Kid Cudi anasema kabla ya kuongea na Kanye ambae alilikubali hilo na kumuunga mkono kama msanii, aliongea na manager wa Kanye ambae ni Don C pamoja na Jay-Z na wote walimbariki na kumuunga mkono ...
Kid Cudi ana mpango wa kuanzisha label yake iambayo haijafahamika bado na tayokuwa na wasanii pia ikiwa na muziki wa aina yake ...

source: GONGA MX

Previous Post Next Post