ALBUM MPYA YA WAJE KUTOKA MWEZI MAY


waje
Mwimbaji na mtunzi mahiri wa nyimbo nchini Nigeria mwanashosti Waje anatarajia kudondosha albamu yake ya kwanza mnamo tarehe moja ya mwezi May mwaka huu.
Waje anatarajia kutoa albamu yake hiyo aliyoibatiza jina “Words Aren’t Just Enough” ambapo dashosti huyo ameanza pia zoezi rasmi la kuziachia picha zake za (cover) ambazo zinamuonyesha akiwa katika maandalizi ya promo kwaajili ya album hiyo.
Previous Post Next Post