VIDEO YA ANAYETAJWA KUTEKELEZA KUTEKWA NA KUUMIZWA KWA ABSALOM KIBADA HII HAPA;

Hii ndiyo Video ya Afisa aliyetambuliwa kama Mkurugenzi wa Ulinzi na Usalama wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo, Willfred Lwakatare ambapo inatajwa kuwa hapa alikuwa akitoa maelekezo kwa vijana wake kwenda kutekeleza tukio la kumteka mwandishi wa habari, Jionee mwenyewe.

Previous Post Next Post

Popular Items