VIDEO MPYA KUTOKA KWA KELLY ROWLAND


 Ni staa kati ya mastaa waliowahi kuja Tanzania, kitu pekee na kinachokuja cha kwanza ninapokumbuka ujio wa Kelly Tanzania, ni siku alipomwaga machozi baada ya kuona jinsi watu wanavyoishi kwa tabu Manzese Dar es salaam Tanzania…. ana moyo wa ukarimu, upendo na huruma pia.

Previous Post Next Post