UCHAMBUZI WA HABARI: MTANZANIA KUWA WAZIRI RWANDA...!


RAIS Paul Kagame 

Ndugu zangu,
Imeripotiwa kwenye Mwananchi. Kwa mtazamo wangu, hii si habari kubwa. Huyo aweza kuwa alikuwa Mtanzania mwenye asili ya Rwanda. Hivyo , kaurudia Unyarwanda wake. Hapa hakuna cha ajabu, hakuna habari pia kubwa pia.


Na Watanzania wa aina hiyo tunao wengi, wengine tumesoma nao. Habari ingekuwa kubwa kama Mtanzania wa kabila la Kichaga, Kinyamwezi na mengineyo amekuwa Waziri Rwanda. Mfano, 'Mtanzania Profesa Ibrahim Lipumba awa Waziri wa Fedha Rwanda!'
... Ni baada ya kuchukua uraia wa Rwanda.
Previous Post Next Post