KILIMANJARO FC SWEDEN WAOMBA DONATION


0000000s d53cd
Kwa watu wote (Sponsors, Boosters & all well-wishers) Tanzania, Afrika mashariki na kwingineko,
Yah: Maombi ya michango ya pesa (donation) kwa ajili ya kukidhi mahitaji ya kuimarisha na kuendesha FC
Kilimanjaro Stockholm, Sweden
Tafadhali rejea kichwa cha habari hapo juu. Uongozi wa kamati kuu ya FC Kilimanjaro unapenda kutoa salaam

za dhati kwako na kuomba uchangie maendeleo ya chombo hiki. Timu yetu imeshiriki kikamilfu ligi ya daraja la
7 Sweden mwaka 2012 na kufanya vizuri sana. Vilabu 19 vilishiriki ligi kuu husika, nampaka mwisho wa ligi ,
Kilabu FC Kilimanjaro ilikuwa ikiongoza kwa pointi 10. Kiwango cha FC Kilimanjaro kimpira ki-khali ya juu sana
na tunataka mwaka 2013 FC Kilimanjaro ishiriki daraja la 4, ili mwaka utakaofuata ifuzu na kushiriki daraja la tatu
(professional stage). Gharama za kuendesha kilabu FCK, ziko juu sana. Uongozi (watu wachache wasiozidi 6)
umejitolea kuunda na kusimamia chombo hiki kwa udi na uvumba. Umesafiri ndani na nje ya nchi, kuitambulisha
FCK pia ikiwa ni njia mojawapo katika utafutaji wa/udhamini ili kukidhi gharama za kuendesha FCK.
Tumepokelewa vizuri na kupewa ”ahadi” ambazo mpaka sasa hazijazaa matunda, lakini matumaini ni makubwa
(well-wishers hususani nchini Tanzania,wanafanya kila liwezekanalo ili FCK ifanikiwe, tuna matumaini. Mpaka
sasa hivi FC Kilimanjaro inaendeshwa na ada za kamati ya uongozi EXCUTIVE COMMITTE MEMBERS (good
cause) Ikiundwa FCK, ilijiwekea malengo kwamba miezi 18 baadaa ya kilabu kuazishwa na kufanya kazi,
iundwe (TRUSTWORTHY FANS) ili yeyote atakayetaka kujiunga kuwa mwanachama afanye hivyo. Utaratibu wa
kujiunga ni kututumia barua pepe, majina yako na jinsi tunavyoweza kuwasiliana nawe ili upate taarifa muhimu
za FCK. Pia kama (trustworthy member, boosters, donaters au sponsors) uchangie ili FCK ipate michango ya
hiari(good cause) kadri ya uwezo wako na kwa wakati wowote. Kwa kifupi, ili tupate michango ya hali na mali,kwa
muda wowote. Mwaka 2012 gharama za uanzishaji (daraja la chini) wa chombo hiki na uendeshaji wake kdc
ilikuwa USD 2740/mwezi kila mwezi. Hivyo ni dhairi kabisa kuwa tuendako daraja la 4 (na la juu mara 3 ya
tulipoanzia) tuna changamoto nyingi sana, ikiwemo ya kiuchumi, ili tuwezefika tupendako. Kwa maelezo hayo
hapo juu ni wazi sasa utatambua na kuona umuhimu wa kutoa mchango wako .
Mbali na gharama za uendeshaji, FCK inatakiwa kulipia gharama za ununuzi(buy and/or taking over fee) kdc
USD 20 000 – 50 000 haraka iwezekanavyo kabla ya mwezi wa tatu 2013, hatimaye FCK ikabidhiwe timu ya
daraja la 4, katika muda mwafaka wa kukisimamisha chombo hiki MUHIMU KWA MAENDELEO YA JAMII YETU.
Kama kuna kitu kingine unachotaka kujua kuhusu FC Kilimanjaro karibu, tutakuwa tayari kushirikiana nawe au
tunaweza kukutana nawe na kujadili mambo ya timu na ushirikiano wake kwa pamoja, kwa kuweka ahadi nasi
kwa kutumia barua pepe uliopewa hapo chini au karibu ufike ofisi yetu. Tunakukaribisha sana FC Kilimanjaro.
Mambo muhimu ya kuyatupia macho katika FCK ni; a)kukuza vipaji vya wachezaji ili waweze kucheza ligi za
kulipwa, Afrika, Sweden/Ulaya na kwingineko. b)kuwalea na kuwatunza wacheza kimwili na kiakili. c) kuwapatia
makazi kwa kipindi chote “wakaacho tukitafuta masokoni” kulingana na vipaji vya wachezaji husika kimpira,
kimwili, kiakili na kinidhamu. d)kuwaongoza na kusimamia uwepo wao na kuhakikisha kwamba, mchezaji
hapotezi dira wa kile kilichomleta .h)Baki/Faida FC.K ni kwa ajili ya (future) maendeleo ya jamii yetu. Twakutakia
siku njema na utendaji mwema! Asante sana kwa yote na kwa kuwa tayari kujenga jamii mpya ya Watanzania
katika fani ya michezo na kiuchumi.
Wenu katika michezo na maendeleo FC:K // Adrey na wafanyakazi wenzangu
Anwani,uendeshaji na utawala/Adress, Chancery and The Executive Committee members & Administration for the whole
club.
Visiting adress: FC Kilimanjaro ORGNR: 802461-7808 Telefon +46 8 730 29 05 Mobile +46 73 937 66 36 Telefax
+46 8 730 29 05
allservice AB GÃ¥rdsv 7D Postadress: 169 70 Solna. Stockholm. Sweden
Opening hrs: MONDAYS 10-18 FRIDAYS 10-18
Account number Sweden Please pay to: PGiro: 640204-4 Nordea Bank AB.
International account number: Please pay to SWIFT-address: NDEASESS IBAN: SE25 95000099 6018 0640 2044
Kazi/Task
Chef administration and committee chairman Name: Damas Daniel Ndumbaro Mobile: +255 754 29 48 08 E-post:
& Secretary Name: Adrey Mulashani Eustace Mobile: +46 7371 06092 E-post:mulashani2009@hotmail.co.uk
Chef administration Technical bench and committee member Name: Nyupi Phillip Mwakikosa Mobile: +46
734895409 E-post: nyupi17@yahoo.com
William Kusila Mobile: +46 76595125 E-post: gkusila@hotmail.com
Cashier and committee member Name: Amoni JJ Gyunda Mobile: +46 701109292 E-post:gyunda@ndugu.org
Administration and committee member Name: Maggid Mjengwa Mobile: +255 788 111 765 E-post:
Previous Post Next Post

Popular Items