RAPPER THE GAME AJICHORA TATOO YENYE SURA YA OBAMA
byNews Tanzania-
0
Rapper The Game ameonyesha tatoo yake ambayo ni mpya na inaonekana ikiwa ni sura ya raisi wake anayemuongoza President Barack Obama, Tatoo hiyo iko upande wa kifua chake!
Amesema ni Mapenzi aliyonayo juu ya Raisi wake uyo!