"MAHABA NIUE" YA RADO NA JACQUILINE WOLPER YAJA NA KALENDA ZA BURE KWA MASHABIKI!



    Filamu ya "Mahaba niue" ya mwigizaji Simon Mwapagata "Rado" na Jacquiline Wolper inayotarajiwa kutoka hivi karibuni itakuja na zawadi ya kalenda BURE kwa wapenzi wote watakaobahatika kuinunua filamu hiyo kali na ya aina yake. Hayo yamesemwa leo na Mwigizaji mkuu ndani ya filamu Hiyo Rado Alipokuwa akizungumza na mwandish wa habari hii nyumbani kwake leo mchana. 
    Rado amesema kuwa ameamua kufanya hivi kama offer maalumu kwa wateja na wapenzi wake wote watakaonunua Filamu yake hii aliyocheza na mwanadada mrembo wa bongomovies Jacquiline Wolper.

    Previous Post Next Post