
Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akitoa Hotuba ya ufunguzi wa Access Bank mjini Mwanza.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akikata utepe kuashiria kufunguliwa kwa Access Bank Tawi la Mwanza.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akisaini kitabu cha Wageni katika Benki ya Access Tawi la Mwanza.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akipokea zawadi kutoka kwa mmoja wa Wafanyakazi wa Accesss Benki kwa niaba Benki hiyo.

Wananchi na wafanyakazi wa Accesss bank wakimshangilia Naibu Waziri mara baada ya kufungua Tawi Access Benki.

Naibu Waziri wa Fedha Mhe. Saada M. Salum akiwa kwenye picha ya pamoja na Menejimenti ya Benki pamoja na Wajumbe wa Bodi ya Benki Access.Kutoka kulia Bw.Prosper Gwemela ambaye ni Meneja wa Benki ya Access Tawi la Mwanza,akifuatiwa na Bw. Roland Coulon Mtendaji Mkuu wa Benki ya Access,anayefuata ni Grace Rubambey Mjumbe wa Bodi ya Benki ya Access,akifuatiwa na Jaji Justice Mihayo ambaye nay eye ni mjumbe wa Bodi wa Benki hiyo ya Access.Kutoka kushoto ni Bw. Ophoro Lokey ambaye ni Mkuu wa kitengo cha miundo mbinu ya Benki akifuatiwa na Afisa yawala wa Mkoa ambaye amefuatiwa na Mkuu wa Wilaya ya Mwanza Bw. Nyamagama.Na nyuma ni Wananchi wa Mkoa wa Mwanza.(Picha zote na Fetty Botea).