WAZIRI WA MAZINGIRA ASHIRIKI USAFI WA MAZINGIRA


Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Said Meek Sadiki akifanya Usafi  Wajiji katika Barabara ya Kawe kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers, Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Kulia Mkurugenzi wa Mazingira Ofisi ya Makamu wa Rais Dk Julias Ningu

 Baadhi ya Wafanyakazi wa Ofisi ya Makamu wa Rais Wakifanya Usafi Kuadhimisha siku ya Mazingira Barani Afrika kwenye Viwanja vya  Tanganyika Packers kawe Wilaya ya Kinondoni Jijini Dar es Salaam
Mawaziri wa Nchi  Katika Ofisi ya Makamu wa Rais Muungano Samia Suluhu Hassan na Wamazingira  Dk Terezya Huvisa,Naibu Waziri Ofisi ya Makamu wa Rais Chalrs Kitwanga na Mkuu wa Mkoa wa Dar es Sar es Salaam Said Meek Sadiki wakifanya Usafi Kandokando Mwabarabara ya kawe Wakati wa Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo zimefanyika kwenye Viwanja vya Tanganyika Packers Jijini Dar es Salaam.
 Waziri wa Nchi Ofisi ya Makamu wa Rais Mazingira Dk Terezya Huvisa akihutubia Wananchi wa Wilaya ya Kinondoni Wakati Sherehe za Kuadhimisha Siku ya Mazingira Barani Afrika Sherehe hizo  zmefanyika kenye Viwanja vya Tanganyika  Packere huko Kawa Jijini Dar es Salaam.Picha Zote na Ali Meja
Previous Post Next Post