Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akiwaonyesha wadau mbalimbali wa haki za binadamu na utawala bura kijitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza mara baada ya kukizindua kitabu hicho leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki ya Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Tume Mary Massay.BELSHAZA KABOME ( TEAM BONGO 61)
Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akizindua kijitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki ya Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho kimeandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Ubalozi wa Uingereza Nchini na Taasisi ya Jumuia ya Madola inayoshughulikia haki za binadamu. Kutoka kushoto ni Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento akifuatiwa na Katibu Mtendaji wa Tume Mary Massay.
Wadau mbalimbali wa haki za binadamu na utawala bora wakiwa katika picha ya pamoja mara baada ya kumalizika kwa uzinduzi wa kitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki ya Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho kimeandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Ubalozi wa Uingereza Nchini na Taasisiya ya Jumuia ya Madola inayoshughulikia haki za binadamu.
Naibu Balozi wa Uingereza nchini Julian Chandler akielezea jinsi nchi yake ilivyoona umuhimu wa kuandaa kitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Katikati ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki akifuatiwa Mwenyekiti wa Tume hiyo Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento.
Katibu Mtendaji wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Mary Massay akielezea kuhusu uzinduzi wa kitabu cha maswali 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Kitabu hicho kimeandaliwa na Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora, Ubalozi wa Uingereza Nchini na Taasisiya ya Jumuia ya Madola inayoshughulikia haki za binadamu. Mwenyekiti wa Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora Jaji Kiongozi Mstaafu Amiri Manento akielezea jinsi kitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza kitakavyowasaidia wananchi kujua haki zao za msingi wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume hiyo jijini Dar es Salaam. Kulia ni Naibu Waziri wa Katiba na Sheria Angellah Kairuki na kushoto ni Katibu Mtendaji wa Tume hiyo Mary Massay. Mkurugenzi wa Taasisi ya Jumuia ya Madola inayoshughulikia haki za binadamu Sarah Mount akielezea umuhimu wa kitabu cha mambo 101 unayohitaji kuyafahamu kuhusu Polisi lakini unaogopa kuyauliza wakati wa uzinduzi wa kitabu hicho uliofanyika leo katika ukumbi wa mikutano wa ofisi za Tume ya Haki za Binadamu na Utawala Bora jijini Dar es Salaam. Kushoto ni Kamishna wa Tume hiyo Bernadeta Gambishi.