JK: AFUNGUA CHUO CHA TEHAMA VETA KIPAWA JIJINI DAR ES SALAAM


8E9U7541
Rais Dkt.Jakaya Mriusho Kikwete,Waziri wa Elimu dkt.Shukuru Kawambwa(kulia) na Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung wakipiga makofi wakati wa uzinduzi wa Chuo cha TEHAMA VETA Kipawa jijini Dar es Salaam.
8E9U7558
Rais Dkt.Jakaya Mrisho Kikwete,Waziri wa Elimu Dkt.Shukuru Kawambwa(kulia),Balozi wa Korea ya Kusini Mhe.Chung(wapili kulia),Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam Bwana Sadik Meck Sadik(Wapili kushoto) na Mkurugenzi Mkuu wa VETA Injinia Zebadia Moshi(kushoto) wakikata utepe kufungua rasmi Chuo Cha TEHAMA VETA huko Kipawa jijini Dar es Salaam jana!
Previous Post Next Post

Popular Items

Magazetini Ijumaa ya Tarehe 23/8/2013