HAWA NDIO WALIOJITOKEZA KWENYE USAHILI WA MISS DAR INDIAN OCEAN 2013



Hii ilikuwa ni usahili wa kuwatafuta washiriki wa Miss Dar Indian Ocean ambao walipatikana washiriki ishirini kutoka kila kitongoji cha Dar es Salaam, pichani ni majaji pamoja na Miss Dar Indian Ocean wa mwaka 2012 wa pili kutoka upande wa kulia. Usahili huu ulifanyika pale posta town kwenye club maarufu inayojulikana kwa jina la Club Much More










Camera man kutoka 2Eyes
Baada ya washiriki wote kupita majaji walikuwa na kibarua kizito kuanza kuwachagua wale washiriki 20 waliofanikiwa kuingia katika shindano hilo






Ndugu Hamis mwakilishi kutoka Club Bilicanas akiwataja washiriki hao 20 Na hawa ndio washiriki 20 waliofanikiwa kupita
Previous Post Next Post