Mwanadada Farida ambaye kwa muda mrefu alikuwa kimya, hivi karibuni ameshoot video ya wimbo wake mpya, Mapenzi Video hiyo imefanyika jijini Mwanza na kampuni ya One Love Videos chini ya muongozaji, Hyper. Hizi ni baadhi ya picha za shooting ya video hiyo.
![]() |
Farida na model ![]() Shooting ikiendelea ![]() ![]() Farida akiwa na model wa video hiyo ![]() Farida ![]() Neema akimpamba dada yake Farida ![]() Mdogo wake Farida (Neema) ambaye pia ni meneja wake akihusika kuwapamba ![]() Model ![]() ![]() ![]() |